Kaimu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT) Dkt. Zainabu Mshana (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa (kulia) alipofika kwa ajili ya kutembelea Banda la Shirika hilo katika maonesho ambayo ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT) Dkt. Zainabu Mshana (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa (kulia) alipofika kwa ajili ya kutembelea Banda la Shirika hilo katika maonesho ambayo ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT) Dkt. Zainabu Mshana (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano TRC Jamila Mbarouk kuhusu kazi zinazofanywa na Shirika la Reli Tanzania (TRC) katika maonesho ambayo ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT) Dkt. Zainabu Mshana akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha huduma za Viwanja Vya Ndege kutoka Chuo cha Usafiri wa Anga (CATC) Thamarat Abeid alipotembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) ambapo amepata maelezo kuhusu utendaji wa shughuli za Mamlaka Pamoja na Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC) katika maonesho ambayo ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT) Dkt. Zainabu Mshana akisaini kitabu katika Banda la Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT) Dkt. Zainabu Mshana akiuliza aswali mbalimbali yanayohusu Reli ya Tanzania-Zambia (TAZARA) alipotembelea Banda hilo katika maonesho ambayo ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT) Dkt. Zainabu Mshana akitoa huduma kwa mwananchi aliyefika katika banda la Chuo hicho katika maonesho ambayo ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...