Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Mke wake Mama Mariam Mwinyi wakipata maelezo kutoka kwa Meneja Airtanzania Zanzibar Ali Hassan Nassor alipokuwa anaelezea kazi zinazofanywa na Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hussein Ali Mwinyi akiagana na Meneja Airtanzania Zanzibar Ali Hassan Nassor mara baada ya kutembelea banda la Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Mke wake Mama Mariam Mwinyi wakiondoka katika banda la Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) mara baada ya kutembelea Banda hilo katika Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...