KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) ikiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Deus Clement Sangu (Mb) yashiriki semina ya mafunzo kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina leo tarehe 05 Januari 2024. Mafunzo hayo ya siku mbili yanafanyika katika ukumbi wa Benki ya Tanzania (BOT) Jijini Dar-es-salaam.
Msajili wa Hazina, Ndg.Nehemia Mchechu amefungua mafunzo hayo na kutoa mada inayohusu “Tathmini ya Utendaji wa Taasisi na ufanisi wa Usimamizi wa Taasisi za Umma. Mkufunzi mwingine ni pamoja na Mkurugenzi wa Uwekezaji Ndg. Lightness Mauki.jpeg)



Msajili wa Hazina, Ndg.Nehemia Mchechu amefungua mafunzo hayo na kutoa mada inayohusu “Tathmini ya Utendaji wa Taasisi na ufanisi wa Usimamizi wa Taasisi za Umma. Mkufunzi mwingine ni pamoja na Mkurugenzi wa Uwekezaji Ndg. Lightness Mauki
.jpeg)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...