Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara akizungumza jambo kwenye Banda la Shirika la Ndege Tanzania (ATCL)  alipoambatana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ali Possi walipotembelea Banda la ATCL kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar
Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara pamoja Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ali Possi wakipata maelezo kutoka kwa Kaimu Meneja Mahusiano na Mawasiliano wa ATCL Margret Leslie walipotembelea Banda la Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar. Kushoto ni  Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mipango Mussa Martine
Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara  akisaini kitabu katika banda la Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) walipotembelea Banda la ATCL kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ali Possi  akisaini akisaini kitabu katika banda la Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) walipotembelea Banda la ATCL kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...