KILA mtu amekuwa akiwa kupambana na maisha, vijana wengi wanawake kwa wanaume wako busy na harakati za mjini, kuna wengine ni wazee wa mishemishe yote kwa yote ili mkono uende kinywani. Sasa ngoja nikusogezee chimbo moja wapo linaloweza kukupatia mkwanja kila muda unapohitaji, ni ulimwengu maridhawa wa kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet.

Kwenye ulimwengu huo utakutana na mchezo wa sloti wa Wild Spin ni moja kati ya michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtayarishaji Platipus. Mchezo huu utakupatia zawadi nyingi na bonasi kibao ya mizunguko ya bure. JISAJILI MERIDIANBET ufurahie michezo mingi ya kasino ya mtandaoni.

USHINDI WA WILD SPIN KASINO YA MTANDAONI.
Wild Spin ni mchezo wa sloti wenye nguzo tano zilizopangwa katika mistari mitatu na mistari 25 ya kudumu. Ili kupata ushindi wowote, unahitaji kuunganisha alama tatu au zaidi zenye kufanana kwenye mstari.

Kila muunganiko wa ushindi, isipokuwa ile yenye alama za “scatter,” hugawiwa kutoka kushoto kwenda kulia kulingana na nguzo zilizopo.

Unaweza kupata ushindi mmoja kwenye mstari mmoja. Ikiwa una kombinasheni kadhaa za ushindi kwenye mstari mmoja, utalipwa kombinesheni yenye thamani kubwa Zaidi unapoibuka mshindi wa mchezo huu wa kasino ya mtandaoni WILD SPIN.

Inawezekana kuongeza thamani ya ushindi kwa kuziunganisha kwenye mistari kadhaa kwa wakati mmoja.

Ndani ya eneo la “Bet,” kuna menyu inayokuwezesha kubadilisha thamani ya dau kwa mstari. Utaweza kuona thamani ya dau kwa mzunguko kwenye eneo la “Total Bet.”

Pia, kuna chaguo la “Autoplay” unaloweza kuwasha wakati wowote. Kupitia chaguo hili, unaweza kusanidi hadi mizunguko 100.

Ikiwa unapenda mchezo wenye kasi zaidi, unaweza kuanzisha mizunguko ya haraka kwa kubofya eneno lenye picha ya mshale wa mara mbili. Unaweza kurekebisha viwango vya sauti upande wa chini kushoto chini ya nguzo.

Alama za Ushindi Kwenye Wild Spin Kasino ya Mtandaoni.
Mchezo huu wa kasino ya mtandaoni una alama nyingi za ushindi kama vile; 9, 10, J, Q, K, na A. Ambapo kadi hizi hugawanywa katika vikundi viwili kulingana na nguvu zao za malipo.

Alama tano zilizobaki zinachukuliwa kuwa alama za kulipa kati, yaani, pamoja na alama ya tunda la plum na tunda la cherry.

Kengele ya Dhahabu na alama ya Bar hulipa kwa njia ile ile kama alama ya tunda la cherry. Ikiwa utaunganisha alama tano hizi kwenye kombinesheni ya ushindi, utashinda mara 200 ya dau kwa mstari.

Alama ya msingi zaidi ya mchezo, kama katika michezo mingi ya kawaida, ni alama ya 7 bahati. Ikiwa utaunganisha alama tano za namna hii kwenye kombinesheni ya ushindi, utashinda mara 300 ya dau kwa mstari.

Alama ya “wild” inawakilishwa na nembo ya “Wild.” Inachukua nafasi ya alama zote, isipokuwa “scatter,” na kuwasaidia kuunda kombinesheni ya ushindi.

Michezo ya Bonasi
Alama ya “scatter” inawakilishwa na nembo ya dola. Hii ndiyo alama pekee inayolipa popote inapojitokeza kwenye nguzo. Alama tano za “scatter” zitakulipa mara 100 ya dau lako.

Alama tatu au zaidi za scatter huleta mizunguko ya bure kulingana na sheria zifuatazo:
Alama tatu za “scatter” – mizunguko 10 ya bure
Alama nne za “scatter” – mizunguko 15 ya bure
Alama tano za “scatter” – mizunguko 25 ya bure

NB: Meridianbet ukijisajili tu unapata bonasi kibao za kasino ya mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...