SIKU ya kupiga mkwanja imewadia ambapo mechi kibao zinatarajiwa kupigwa kuanzia kule Ujerumani, Hispania, Italia Ufaransa na zingine kibao, weka pesa na uanze kusuka mkeka wako mapema kabisa.

LALIGA kuendelea hapo kesho ambapo mchezo wa mapema kabisa utakuwa ni ule unawakutanisha kati ya Real Sociedad dhidi ya Rayo Vallecano ambapo wametoka kupoteza mchezo uliopita. Nafasi ya kushinda mechi hii wamepewa wenyeji wakiwa na ODDS 1.64 kwa 5.48. Mara ya mwisho kukutana wametoa sare. Je nani kushinda kesho?. Suka mkeka wako hapa.

Saa 12:15 UD Las Palmas atamkaribisha Real Madrid ya Carlo Ancellotti ambaye anashikilia nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi. Mechi iliyopita Real alishinda kwa mbinde baada ya kutokea nyuma huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 8. 1.42 kwa 6.66 ndio ODDS za mechi hii, bashiri sasa.

Lakini pia mteja usisahu kuwa meridianbet ina michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo unaweza kucheza na kupata pesa papo hapo ikiwemo Aviator, mchezo pendwa kabisa huo, Keno, Roullette, Poker na mengine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

FC Barcelona itakiwasha dhidi ya Villarreal nyambizi wa njano huku mara ya mwisho kukutana Barca alishinda. Barca ambaye ndiye bingwa mtetezi amekuwa akisuasua kupata ushindi lakini je hapo kesho atafanya nini na meridianbet wamempa 1.32 kushinda mechi hii kwa 7.25. Jisajili ubeti hapa.

Ligi hiyo ya Hispania hapo kesho itatamatishwa na mechi ya Mallorca dhidi ya Real Betis saa 5:00 usiku huku mechi iliyopita, mgeni alichapika. Mwenyeji alishinda mchezo wake uliopita. Mechi hii imepewa machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubashiri sasa.

SERIE A nayo itatimua vumbi hapo kesho kwa mechi kali zenye pesa nyingi kabisa majira ya saa 11:00 Atalanta atakipiga dhidi ya Udinese ambaye yupo nafasi ya 16 na alipoteza mcheoz uliopita, huku mwenyeji akishinda kw akishindo mchezo uliopita. Mwenyeji kushinda mechi hii amepewa ODDS 1.47 kwa 6.27. Bashiri mechi hii sasa

Juventus ya Massimiliano Allegri itakuwa pale Allianz kukichapa dhidi ya Empoli FC ambaye Meridianbet hawajampa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu kwani wamempa ODDS 10.78 kwa 1.27. Ikumbukwe kuwa Juve ndio vinara wa ligi hiyo wakiwa na pointi zao 52. Mara ya mwisho kukutana, Empoli alipasuka. Je atalipa kisasi kesho?. Weka mkeka wako hapa na ubeti.

Stephano Pioli na vijana wake AC Milan watakuwa San Siro kumenyana dhidi ya Bologna ambao wamekuwa na mwenendo mzuri wakishika nafasi ya 7 hadi sasa. Milan wamepewa na meridianbet ODDS 1.69 kushinda mechi hii kwa 4.90. Tengeneza jamvi lako hapa.

Huku BUNDESLIGA mechi za pesa nazo zipo Augsburg atakipiga dhidi ya Bayern Munich ambaye ndiye bingwa mtetezi wa ligi hii huku mechi iliyopita ya kiporo akishinda kwa mbinde wakati mwenyeji yeye yupo nafasi ya 10. 1.29 na 8.42 ndio ODDS za mechi hii, bashiri sasa.

Nao RB Leipzig baada ya kupoteza mchezo uliopita wkaiwa nyumbani safari hii watakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya VFB Stuttgart ambaye naye pia alipoteza mchezo uliopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 1. Mara ya mwisho kukutana RB alishinda. Je mwenyeji atalipa kisasi?.

VFL Wolfsburg atamenyana dhidi ya FC Cologne ambaye alipoteza mchezo uliopita. Wolfsburg alitoa sare mechi yake iliyopita huku kushinda mchezo huu amepewa ODDS 1.79 kwa 4.21. Suka mkeka wako sasa.

Kinara wa Bundesliga Bayer Leverkusen baada ya kushinda mchezo uliopita safari hii atamualika Borussia Monchengladbach akiwa na ODDS 9.40. Alonso na vijana wake wamepewa ODDS 1.25 kushinda mchezo huu. Beti hapa.

Ligi ya Ufaransa hapo kesho kutakuwa na mechi mbili tuu ambapo saa 1:00 Nice atakuwa mwenyeji wa Metz katika dimba la Allianz Riviera ambapo mwenyeji anapendelewa kushinda mechi akiwa na ODDS 1.39 kwa 8.62. Mkutano wao wa mwisho Nice alibuka kidedea. Je mechi hii mgeni atakubali kupoteza tena?. Jisajili ubeti sasa.

Saa 5:00 Marseille atakiwasha dhidi ya Monaco ambao walipoteza mchezo wao uliopita, huku mwenyeji akitoa sare mchezo wake uliopita. 2.37 kwa 2.74 ndio ODDS ya timu hizi. Nani ni nani hapo kesho. Unasubiri nini sasa?. Ingia na usuke mkeka wako mapema sana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...