Mkurugenzi Mkuu wa shirika la ndege Tanzania (ATCL) Mhandisi Ladislaus Matindi akiwasilisha mada kuhusu tija ya Shirika hilo kwenye masuala ya Muungano kwenye mkutano wa wakuu wa Taasisi za Serikali ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) katika kusherekea miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar uliofanyika katika Fumba, Zanzibar.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe akisikiliza mada iliyokuwa inatolewa na Mkurugenzi Mkuu wa shirika la ndege Tanzania (ATCL) Mhandisi Ladislaus Matindi  wakati wa mkutano wa wakuu wa Taasisi za Serikali ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) katika kusherekea miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar uliofanyika katika Fumba, Zanzibar.
Baadhi ya wakuu wa Taasisi za Serikali ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) wakifuatilia mada iliyokuwa inatolewa na Mkurugenzi Mkuu wa shirika la ndege Tanzania (ATCL) Mhandisi Ladislaus Matindi katika kusherekea miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar uliofanyika katika Fumba, Zanzibar.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wakuu wa Taasisi za Serikali ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) katika kusherekea miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar uliofanyika katika Fumba, Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...