Leo, Januari 19, 2024, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb), ametoa pole na kukagua miundombinu ya mawasiliano, anwani za makazi, na ofisi za posta zilizoathiriwa na mvua, ikisababisha maporomoko ya mawe na tope Hanang Mkoani Manyara.

Katika ziara hiyo, Waziri Nape alipokelewa na mwenyeji wake, Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Queen Sendiga, na alikuwa na ujumbe wa viongozi mbalimbali wa Wizara na Taasisi zilizo chini ya Wizara, wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Selestine Gervas Kakele.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...