Ujumbe kutoka Benki ya NMB ukiongozwa na Mkuu wa Idara ya Huduma za Kibenki kwa Serikali na Ofisi ya Makao Makuu Ndogo ya Dodoma, Bi. Vicky Bishubo kwa nyakati tofauti umemtembelea Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Uratibu na Bunge, Dkt. Jim Yonazi pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Anderson Mutatembwa na kufanya mazungumzo ambayo yanalenga kuimarisha uhusiano kati ya Benki ya NMB na Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Uratibu na Bunge.
Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi za Waziri Mkuu - Sera, Uratibu na Bunge zilizopo Jijini Dodoma.
Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi za Waziri Mkuu - Sera, Uratibu na Bunge zilizopo Jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...