Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 09, 2024 ameongoza kikao cha kikundi kazi cha kitaifa cha Nishati safi ya kupikia, katika ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma, Februari 09, 2024. Kikao hicho pia kimehudhuriwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...