Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango  akiweka Saini katika kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha  Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa wakati alipofika katika Makazi ya Familia Masaki Jijini Dar es salaam tarehe 11 Februari 2024. Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango  akimfariji mjane wa  Waziri Mkuu Mstaafu marehemu Edward Lowassa ,Mama Regina Lowassa mara baada ya kuwasili nyumbani kwa familia hiyo Masaki Jijini Dar es salaam. Tarehe 11 Februari 2024.

Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango akimfariji mjane wa Waziri Mkuu Mstaafu marehemu Edward Lowassa , Mama Regina Lowassa mara baada ya kuwasili nyumbani kwa familia hiyo Masaki Jijini Dar es salaam. Tarehe 11 Februari 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango  akiwafariji waombolezaji mbalimbali wakati alipofika nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu marehemu Edward Lowassa Masaki Jijini Dar es salaam tarehe 11 Februari 2024.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiagana na Mbunge wa Monduli Mhe. Fredy Lowassa ambaye ni Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu marehemu Edward Lowassa mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo na kuwafariji wafiwa katika makazi ya familia Masaki Jijini Dar es salaam. Tarehe 11 Februari 2024.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...