LIGI ya mabingwa ulaya leo itaendelea ambapo michezo kadhaa itapigwa katika viwanja viwili tofauti, Ambapo michezo hiyo itakupa fursa wewe mteja wa Meridianbet kuchukua maokoto yako mapema sana kupitia michezo hii.

Kupitia michezo hii ambayo itapigwa leo ya ligi ya mabingwa barani ulaya mkwanja utakua nje nje, Kwani mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wamemwaga ODDS KUBWA na za kutosha katika michezo hii.

Pale katika dimba la Estadio do Dragao nchini Ureno utapigwa mchezo mkali sana ambapo klabu ya Fc Porto itakua inashuka dimbani leo kuikaribisha klabu ya Arsenal katika mchezo wa hatua ya 16 bora wa ligi ya mabingwa ulaya.

Klabu ya Arsenal inakwenda ugenini kukipiga na Porto lakini inapewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo kama wapo nyumbani, Hii inatokana na ubora ambao wamekua nao siku za hivi karibuni katika michezo yao.

Mchezo mwingine ambao utakua wa kukata na shoka utapigwa pale katika dimba la Diego Armando Maradona ambapo klabu ya Napoli itakua nyumbani kuwakaribisha mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Hispania klabu ya Fc Barcelona.

Mchezo huu unatarajiwa kua mkali kutokana na fomu ya timu hizo kwasasa kwani sio timu ambazo zinapata matokeo mazuri mfululizo, Huku zikionekana zipo kwenye uzani sawa hivo mchezo baina yao utakua ni wenye ushindani mkubwa uzuri nmi kua timu hizo zimepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali ya ligi ya mabingwa barani ulaya leo, kwani ODDS KUBWA, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...