MBELE yako ni Mchezo wa kasino ya mtandaoni wa kusisimua unaofanyika kwenye Mlima Olympus wenye historia kubwa sana nchi ya Ugiriki kutokana na kubeba siri kubwa ya Miungu 12 ya Ugiriki. JISAJILI NA MERIDIANBET ufurahie kasino ya mtandaoni yenye MAOKOTO kibao.

Mlima Olympus unachukuliwa kuwa mmoja wa milima inayotamaniwa zaidi duniani si tu kwa sababu ya aina mbalimbali za biolojia na mazingira, njia za kupendeza za kupanda, na uzuri wa asili usioharibiwa bali pia kwa sababu ya uhusiano wake uliokita mizizi na historia na falsafa ya kigiriki.

Mlima Olympus ulikuwa ni nyumba ya miungu 12 katika historia ya Ugiriki ya Kale. Kulingana na hadithi zilizoandikwa kwenye vitabu vingi vya mambo ya kale, mlima huo ulitengenezwa baada ya Vita vya Titanomachy, mapambano makubwa kati ya miungu wachanga wa Olympians na Titans.

Waliposhinda vita hivyo, miungu wa Olympian waliunda nyumba yao mpya ya kifahari ambayo ni Mlima Olympus. Mlima huo ulifunikwa na mawingu ambayo yalizuia macho ya wanadamu kuona kilele chake. Cheza mchezo huu wa Kasino ya Mtandaoni a ushinde maokoto huku ukifurahia historia na maajabu ya kale. CHEZA HAPA.

Miungu 12 wa Ugiriki ambao walikaa katika mlima huo ni; Zeus na mkewe Hera, Athena, Artemis, Poseidon, Apollo, Hester, Demeter, Aphrodite, Hermes, Ares, na Hephaestus. Ambao walikuwa wanakutana kila siku katika jumba la Zeus huko Panteoni na kujadiliana mambo mbalimbali ya kiutawala.

Chronicles of Olympus 2 Zeus ni sloti na Kasino ya mtandaoni kutoka kwa, Games Global. Mchezo huu una alama pori (wilds) na vizidishio (multipliers), mizunguko ya bure ambapo kiwango cha vizidishio huongezeka kila unapocheza.

Sloti ya Chronicles of Olympus 2 Zeus ni kasino ya mtandaoni yenye nguzo tano zilizopangwa kwenye mistari minne na ina jumla ya njia 1,024 za kushinda. Ili kupata ushindi, ni lazima upate alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mfuatano wa ushindi.

Unasubiri nini kuanza safari ya kufurahisha kuupanda mlima Olympus wenye historia kubwa ya Ugiriki. CHEZA KASINO YA MTANDAONI.

NB: Meridianbet ukijisajili tu unapata bonasi kibao za kasino mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...