KAMA wewe mteja wa Meridianbet unataka kupiga mkwanja leo basi sehemu ni moja tu ni kupitia michuano ya Uefa Conference League, Kwani itapigwa michezo kadhaa ambayo itatoa fursa ya kujishindia mkwanja wa kutosha.

Michezo ambayo itapigwa leo katika viwanja mbalimbali itakua imepewa ODDS KUBWA na nzuri kwenye tovuti ya Meridianbet, Hivo ni nafasi kwa mteja kuweza kujipigia maokoto kupitia michezo itakayopigwa leo.

Klabu ya Ajax leo itashuka dimbani wakiwa katika dimba lao la Johan Cruyff wakiwakaribisha klabu ya Bodo Glimt kutoka nchini Norway katika mchezo mkali wa michuano ya Uefa Conference League.

Klabu ya Real Betis ya nchini Hispania leo itakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Dinamo Zagreb kutoka nchini Croatia, Mchezo huu unatarajiwa kua mkali na wenye ushindani kwani vilabu vyote vina ubora mkubwa.

Mchezo mwingine mkali ambao unatarajiwa kupigwa leo kwenye michuano ya Uefa Conference League hatua ya 32 bora, Ambapo klabu ya Maccabi Haifa kutoka nchini Israel itawakaribisha klabu ya KA Gent kutoka nchini Ubelgiji.

Klabu ya Olympiacos ya nchini Ugiriki nao watakua nyumbani leo kuikaribisha klabu ya Ferencvaros kutoka nchini  Hungury, Mchezo huu utakua moja ya michezo mikali katika ambayo itamuwezesha mteja wa Meridianbet kupiga mkwanja leo.

Suka mkeka wako kwenye mechi hizi za UEFA, kwani ODDS KUBWA, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...