Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu akisaini kitabu cha maombolezo katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam ambapo amejumuika pamoja na Viongozi na Wananchi katika kutoa heshima za mwisho kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa. Tarehe 13 Februari 2024.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...