Xerin Logistics, inayojishughulisha na maswala mbali mbali ya usafirishaji ndani na nje ya nchi, kupitia msimu huu wa wapenda nao wamekuletea offer kabambe wewe mfanya biashara wa ndani nje ya nchi na hata mtu ninafsi unaetaka kuagiza bidhaa kutoka Dubai kuja Tanzania. Kwa maelezo zaidi watembelee kupitia instagram account: https://www.instagram.com/xerinlogist...
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...