Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutoka makao makuu wamendelea na zoezi maalumu la mlango kwa mlango mkoani Arusha kwa lengo la kutoa ya elimilu ya kodi kwa wafanyabiashara wa mkoa wa huo sambamba na kusikilza changamoto na malalamiko katika ulipaji wa kodi.

Mmoja wa mfanyabiashara wa Usariver wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, Joyce Gideon amewashukuru sana TRA kwa elimu wanayoendelea kuwapatia wafanyabiashara wote na kusikilza changamoto zao huku akisema kuwa elimu hiyo inawasaidia sana katika ulipaji wa kodi na imesadia kuondoa mivutano ya maafisa wa TRA na wafanyabiashara.Afisa Msimamizi wa kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Jamal Ngarawa akitoa Elimu ya kodi kwa Joyce Gideon mfanyabiashara wa Usa River wilaya ya Arumeru mkoani Arusha ikiwa ni katika zoezi maalumu la Elimu ya mlango kwa mlango yeye lengo la kuwafikia wafanyabiashara wa mkoa Arusha kuwapa elimu ya kodi na kusikilza changamoto na malalamiko mbali mbali ya kodi kwa lengo la kuyatatua.Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...