
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisoma Juzuu wakati wa khitma ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki tarehe 29 Februari 2024. Khitma hiyo imeandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na kufanyika kwenye viwanja vya maonyesho Nyamazi mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wajane, Ndugu na Jamaa wakati wa khitma ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki tarehe 29 Februari 2024. Khitma hiyo imeandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na kufanyika kwenye viwanja vya maonyesho Nyamazi mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.

Baadhi ya Viongozi na Wananchi wakiwa kwenye khitma ya ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki tarehe 29 Februari 2024, khitma hiyo imefanyika katika viwanja vya maonyesho Nyamazi mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...