MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet unaweza kusema wameineemesha Mwanayamala sokoni, Kwani wamefika eneo hilo na kuweza kutoa msaada kwa kina Mama wanaofanya kazi soko hilo.

Meridianbet wamefanikiwa kutoa msaada wa vyakula kwa kina Mama wa eneo la Mwanayamala wanaojishughulisha na biashara ndogondogo eneo hilo, Yote ni kuhakikisha wanaifanya siku yao inafana na kua yenye furaha.

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamewafanya kina Mama kufarijika katika siku ya wanawake duniani na kuthamini mchango ambao wamekua nao katika maisha ya kila siku kwenye jamii, Lakini pia kuendeleza utamaduni wao wa kurudisha kwenye jamii yake ambayo inawazunguka.

Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano kutoka Meridianbet Bi Nancy Ingram alipata nafasi ya kuzungumza katika tukio hilo”Binafsi ninayo furaha kubwa kuwepo hapa leo kutoa msaada huu na kiukweli nimefarijika sana kwani leo ni siku yenu,Hivo mnastahili kuifurahia na sisi kama Meridianbet tumehakikisha mnaifurahia siku hii muhimu kabisa kwenu”.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Hata hivo wakina Mama wanaojishughulisha na shughuli za ujasiriamali eneo hilo la Mwananyamala sokoni wameonesha kufurahishwa sana na kitendo ambacho kimefanywa na mabingwa wa michezo ya kubashiri, Ambapo wamesema taasisi nyingine zinapaswa kuiga mfano wa Meridianbet katika kurudisha kwenye jamii kwani sio mara ya kwanza taasisi hiyo inafika katika eneo hilo.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...