MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet imempata bingwa wa Jackpot inayoendelea kutimua vumbi, Bingwa huyo amefanikiwa kupatia michezo 12 kati ya 13 na kujishindia kiasi cha shilingi milioni 10.

Bingwa huyo wa Jackpot ya Meridianbet anayefahamika kama Elia Erick kutoka mkoani Morogoro anafanikiwa kuingia kwenye orodha ya washindi wa Jackpot ambao Meridianbet imewahi kuwatoa.

Mabingwa hao wa kubashiri wamekua wakitoa washindi mara kwa mara kwani hivi karibuni tayari wameshapatikna washindi wawili mmoja akishinda milioni tano, Kabla ya bwana Elia Erick kushinda kitita cha milioni kumi.

Bwana Elia baada ushindi ameeleza kua amekua akicheza na Meridianbet kuanzia mwaka jana mwezi Novemba na ndoto yake ilikua ni kushinda mkwanja mrefu kupitia mabingwa hao wa michezo ya kubashiri.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Mshindi huyo kutoka mkoai Morogoro ameeleza kwa mara ya kwanza alivutiwa na kubashiri na Meridianbet kwa mara ya kwanza baada ya kuona tangazo kwenye king’amuzi cha Startimes.

Mshindi ameeleza pia kua amekua akiwaeleza wenzake kutokata tamaa akiamini wataweza kushinda siku moja mkwanja wa kutosha,Na ndicho kilichotokea kwani bwana Elia ameweza kupiga milioni 10 na Meridianbet.

N.B: Mshindi huyo wa Jackpot alicheza Jackpot ya michezo 13 ambapo mchezo mmoja ulihairishwa kati ya Valencia na Granada, Huku kikwaida Meridianbet wanakua na mechi mbadala ambazo zinakua mechi tano na mechi ya kwanza kabisa ilikua ni kati ya Fc Lorient dhidi ya Nantes na Nantes kufanikiwa kushinda mchezo huo na kumfanya mshindi kufikisha michezo 12 ambapo alipoteza mchezo mmoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...