Mwenyekiti wa Kamati ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo Mh. Deo Mwanyika akiwa na baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo katika matukio mbalimbali alipohudhuria maadhimisho ya siku 365 za Mama SSH kwenye sekta ya kilimo yaliyofanyika Ukumbi wa Mlimani City, Dares Salaam. Shughuli hiyo iliambatana na futari iliyoandaliwa na Mh Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe.Vilevile vijana 10 vya vyuo vikuu walioshinda katika maandiko yaliyotoa suluhisho katika changamoto mbalimbali za kilimo walizawadiwa vyeti na fedha.







Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...