JUMANNE ya Leo mechi nyingi na kali za EPL yani ligi kuu ya Uingereza zinaendelea na wewe mteja wa meridianbet leo ndiyo siku yako ya kutusua mkwanja. Suka mkeka wako na ubashiri hapa.

Newcastle United baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakua nyumbani katika dimba la James’ Park kukiwasha dhidi ya Everton ambao wao walipoteza mechi yao iliyopita. Mara ya mwisho kukutana, The Toffees walishinda. Je leo hii kwa ODDS ya 1.96 kwa 3.52 nani kuondoka na ushindi?. Beti mechi hii sasa.

Huku Nottingham Forest wao watatunishana misuli dhidi ya Fulham vijana kutoka Craven Cottage ambao wapo nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi. Wenyeji wapo nafasi ya 17 na mara ya mwisho walipokutana, walipoteza. Mechi hii ndani ya Meridianbet wamepewa ODDS 2.65 kwa 2.55. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili sasa.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Pia AFC Bournemouth baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atapepetana dhidi ya Crystal Palace. Bournemouth amepewa ODDS 1.96 kushinda mechi hii na Palace wao wamepewa ODDS 3.57. Tofauti ya pointi kati yao ni 8. Suka mkeka wako na Meridianbet.

Vilevile utamu mwingine wa soka la Ulaya utakuwa katika dimba la Turf Moor ambapo mwenyeji Burnley atacheza dhidi ya Wolverhampton Wanderers ambaye yupo nafasi ya 10 kwenye ligi. Burnely chini ya Kompany wametoka kutoka sare mchezo wake uliopita. Je leo hii wanaweza kupata ushindi wakiwa nyumbani?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet.

Nao Tottenham Hot Spurs atakuwa ugenini leo hii kumenyana dhidi ya West Ham United ambayo hii ni London Derby majira ya 4:15. Vijana wa David Moyes amepoteza mchezo wake uliopita huku Spurs akishinda mechi yake iliyopita. Mara ya mwisho walipokutana Wagonga Nyundo wa London walishinda. Mechi hii imepewa ODDS 3.19 kwa 1.98. Tengeneza jamvi hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...