WANACHALINZE wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wamejumuika na Mbunge wao ambaye ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete katika futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani.

Futari hii iliyokutanisha Masheikh na waumini mbalimbali ilitumika pia kumuombea Rais wa JMT Dr. Samia Suluhu Hassan na kufanya kumbukizi ya miaka 25 toka kufariki kwa Mama Mzazi wa Baba yetu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete , Bibi Goya Bint Jumbe. Tunawashukuru sana kwa kuja.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...