Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na majirani zake wa zamani Bi Asha Salum Abdallah ambaye walisoma wote Shule ya Msingi na Sekondari na mume wake Inspekta Mstaafu wa Jeshi la Polisi Rashid Zam Ali pamoja na Binti yao na mjukuu alipotembelea majirani zake wa zamani mtaa wa Mombasa, Unguja Zanzibar, tarehe 15 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na majirani zake wa zamani Bi Asha Salum Abdallah ambaye walisoma wote Shule ya Msingi na Sekondari na mume wake Inspekta Mstaafu wa Jeshi la Polisi Rashid Zam Ali pamoja na Binti yao na mjukuu alipotembelea mtaa wa Mombasa, Unguja Zanzibar, tarehe 15 Aprili, 2024.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...