BAADA ya ligi mbalimbali kutamatika, bado kuna ligi mbalimbali kutoka mataifa kibao zinaendelea ambazo ndani ya Meridianbet zina ODDS KUBWA. Ingia sasa na ubashiri.

SERIE A leo kule Italia na mechi moja ya kiporo ambayo itapigwa Cagliari ambaye yupo nafasi ya 15 atakuwa mwenyeji wa Fiorentina ambaye yupo nafasi ya 8. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda mgeni akiwa na ODDS na 1.73 kwa 4.41. Beti mechi hii.

Huku kwa upande wa BUNDESLIGA leo hii kuna mchezo mmoja wa Play-offs ambapo timu mboja inawania nafasi ya kubaki Ligi kuu na nyingine inatafuta nafasi ya kupanda ligi kuu.

Bochum ambaye amemaliza ligi akiwa nafasi ya 16 anataka ushindi ili msimu ujao acheze ligi kuu huku Fortuna Dusseldorf baada ya kumaliza nafasi ya 3 Bundesliga 2 anataka sasa acheze ligi ya wakubwa. Mechi hii imepewa ODDS 2.13 kwa 3.23. Jisajili hapa.

Bashiri na meridianbet ligi mbalimbali zinazoendelea, huku ukicheza michezo michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Baada ya kumpata mshindi wa SAUDI PROFFESSIONAL LEAGUE leo mechi za ligi hiyo zitapigwa ambapo Abha ambaye anashika nafasi ya 17 atakiwasha dhidi ya Al Khaleej ambaye ni wa 11. Abha akishinda mechi ya leo atapanda hadi nafasi ya 14 na kujinusu na kushuka daraja. Mechi ya kwanza mwenyeji alipoteza. Je leo hii anaweza kulipa kisasi?. ODDS KUBWA zipo mechi hii, Suka mkeka wako na Meridianbet.

Naye bingwa mtetezi Al-Hilal Saudi yeye atakipasua dhidi ya Al-Tai ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 59. Mechi ya mkondo wa kwanza Hilal alishinda huku Meridianbet wakimpatia mwenyeji nafasi kubwa ya kuondoka na pointi 3 kwa ODDS 1.11 kwa 13.72. Tengeneza jamvi lako hapa.

Huku Cristiano Ronaldo na Al Nassri yake watakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Al Riyadh ambao wapo nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi. 9.01 na 1.20 ndio ODDS za mechi hii, vilevile mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri sasa.

Ligi kuu ya Misri (EGYPT PREMIER LEAGUE) kutakuwa na mtanange mzito kwelikweli saa 1:00 usiku El Zamalek atamualika nyumbani kwake Future FC ambapo tofauti ya alama kati yao ikiwa ni 6. Meridianbet wanampendelea Zamalek kushinda mchezo wa loe kwake akiwa na ODDS 1.96 kwa 3.62. Suka mkeka wako hapa.

YKKOSLIIGA kule Finland inaendelea na wewe una nafasi ya kuibuka mshindi kwa kubashiri mechi hizi ndani ya Meridianbet, saa 12:30 jioni baada ya Jippo kushinda mechi iliyopita atakipiga dhidi ya PK-35 Helsinki ambao walipoteza mchezo uliopita. Mechi hii imepewa ODDS 1.81 kwa 4.01. Jisajili hapa.

Mechi nyingine itakuwa ni kati ya kibonde wa ligi hiyo Mikkelin Pallalijat dhidi ya FF Jaro ambaye yupo nafasi ya 3. Mechi ya kwanza walipokutana, Mikkelin alishinda. Je leo hii kwa ODDS 5.29 na 1.92 nani kuibuka mbabe?. Ingia meridianbet na ubashiri.

Hapo kesho mechi kibao pia kuendelea kuanzia LALIGA na nyingine kibao saa 4:00 Girona atakipiga dhidi ya Granada ambao wana hali mbaya kwenye msimamo wa ligi nafasi ya 19 hadi sasa. Tofauti ya pointi kati yao ni 56 huku Meridianbet wakimpa dhamana kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.19 kwa 10.78. Beti hapa.

Ligi kuu ya Sweeden ALLSVENSKAN pia kuna mechi za pesa IF Elfsborg atamualika kwake Halmstads BK katika dimba la Boraas Arena huku nafasi ya kuondoka na ushindi akipewa mwenyeji kwa ODDS 1.29 kwa 7.64. Wewe unampa nani beti yako.

Nao vinara wa ligi hiyo Malmo watakipiga dhidi ya Kalmar FF ambao ni wa 15 kwenye msimamo wa ligi katika dimba la Elda huku mara ya mwisho kukutana, Mgeni alishinda. Je mwenyeji atalipa kisasi kwa ODDS 1.19 kwa 10.78?. Ingia meridianbet na ubeti sasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...