
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Bw. Hassan Rajab aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar, alipofika nyumbani kwake Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kwa ajili ya kumsalimia na kumjulia hali yake leo 10-5-2024.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Familia ya Bw. Hassan Rajab (kushoto kwa Rais) aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar, baada ya kumaliza mazungumzo yake alipofika nyumbani kwake Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kushoto kwake) Ndg. Haji Kali, wakiitikia dua ikisomwa na Katibu Mtendaji wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume (kulia kwa Rais) (Picha na Ikulu)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...