Mwenyekiti wa Taasisi ya Joha Trust inayomiliki Shule ya Sekondari ya wasichana ya Barbro Johansson, Profesa Anna Tibaijuka, akizunguma wakati wa mahafali ya 18 ya Kidato cha Sita na uzinduzi wa harambee ya kuchangisha fedha za ujenzi wa jengo la Tehama lenye thamani ya sh bilioni 1.4. Hafla hiyo ilifanyika  Jijini Dar es Salaam Mei 25. Jumla ya Sh milioni miatano ili patikana papo hapo.
Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo (kulia), akizunguma wakati wa mahafali ya 18 ya Kitado cha Sita na uzinduzi wa harambee ya kuchangisha fedha za ujenzi wa jengo la Tehama lenye thamani ya sh bilioni 1.4 la Shule ya Sekondari ya wasichana ya Barbro Johansson. Hafla hiyo ilifanyika  Jijini Dar es Salaam Mei 25.  Kushoto ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Joha Trust, Profesa Anna Tibaijuka na Mwenyekirti wa Bodi wa shule hiyo, Halima Kamote.
Mwenyekiti wa PTA wa Shule ya Barbro Johansson, Dk. Amini Mshana, (katikati), akizunguma wakati wa mahafali ya 18 ya Kitado cha Sita na uzinduzi wa harambee ya kuchangisha fedha za ujenzi wa jengo la Tehama lenye thamani ya sh bilioni 1.4 la Shule ya Sekondari ya wasichana ya Barbro Johansson. Hafla hiyo ilifanyika  Jijini Dar es Salaam Mei 25.  Kushoto ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Joha Trust, Profesa Anna Tibaijuka , Mwenyekirti wa Bodi wa shule hiyo, Halima Kamote na Mkuu wa shule hiyo, Sospina Leonidace(kulia).
Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo (kulia), akionyesha mchoro wa jeno la Tehama la Shule ya Wasichana ya Barbro Johansson wakati wa mahafali ya 18 ya Kitado cha Sita na  harambee ya kuchangisha fedha za ujenzi wa jengo hilo lenye thamani ya sh bilioni 1.4. Hafla hiyo ilifanyika  Jijini Dar es Salaam Mei 25

Wahitimu wa Kidato cha Sita wa Shule ya Wasichana ya Barbro Johansson wakitoa burudani  wakati wa mahafali yao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...