Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameongoza Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kilichofanyika tarehe 20 Juni, 2024 Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara wa Mifugo na Uvuvi Profesa Riziki Shemdoe akizungumza jambo wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kilichofanyika tarehe 20 Juni, 2024 Jijini Dar es Salaam 
Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar  Kapteni Hamad Bakar Hamad akifafanua jambo wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP). 
Mratibu wa Program ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Salimu Mwinjaka akieleza jambo wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) 
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu (katikati) akifuatilia jambo wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP).
Kiongozi wa Timu ya Mshauri Muelekezi wa upembuzi yakinifu wa ununuzi wa Meli za Uvuvi kutoka Kampuni ya DMG na Chuo Kikuuu Cha Dar es Salaam  Dkt. Aloyce Hepelwa akiwasilisha taarifa ya upembuzi yakinifu wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP).
Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uvuvi Nchini (TAFICO) Bw. Denis Simba akizungumza wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP)

Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) wakifuatilia hoja wakati wa kikao hicho.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WWAZIKRI MKUU)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...