SWALI kubwa ala kujiuliza ni je klabu ya Borussia Dortmund kutoka nchini Ujerumani wataweza kuondoa gundu katika dimba la Wembley dhidi ya Real Madrid katika mchezo fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya (Uefa).

Klabu ya Borussia Dortmund fainali yao ya mwisho ya michuano hii walicheza katika dimba la Wembley mwaka 2013 dhidi ya mahasimu zao klabu ya Bayern Munich, Huku wakiangukia pua kwa kupoteza fainali hiyo kwa mabao 2-1.

Kutokana na historia hiyo inaonesha wazi kua klabu ya Borussia Dortmund hawana bahati nzuri na uwanja wa Wembley, Huku wakienda kukutana na klabu ya Real Madrid ambayo imekua na historia nzuri sana kwenye michezo ya fainali ya michuano hiyo.

Kwa upande wa Real Madrid wao watakua wanafukuzia taji lao la 15 kwenye michuano hiyo mikubwa kabisa barani ulaya, Huku klabu ya Borussia Dortmund wao wakiwinda taji lao la pili michuano hiyo baada ya lile waliloshinda mwaka 1997 mbele ya Juventus.

Real Madrid wao wanakwenda kucheza fainali yao ya tisa tangu mwaka 1992, Hku wakiwa wameshinda fainali zao nane zilizopita hivo ni mchezo ambao wanapewa nafasi kubwa zai ya kushinda mchezo huo kutokana na historia kua upande wao kwa kiasi kikubwa.

Suka mkeka wako kwenye mchezo huu mkali wa fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya pamoja na michezo mingine itakayopigwa wikiendi hii. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Kiuhalisia mchezo utakua mkali na wenye kuvuta hisia kali kwani vilabu vyote vina ubora mkubwa ambao umewafanya kuwepo kwenye hatua hiyo kubwa kabisa ya michuano hiyo, Huku kinachosubiriwa ni nani atatwaa taji hilo na kua bingwa mpya wa michuano hiyo.

Wikiendi hii pia ligi mbalimbali zitaendelea kama Serie ya Brazil, MLS ligi kuu nchini Marekani ambapo itapigwa michezo kadhaa kama Fluminense dhidi ya Botafogo, Inter Miami watakipiga dhidi ya St. Louis michezo yote hii unaweza kubashiri kupitia Meridianbet na kupiga mkwanja wa kutosha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...