Karibu kwenye kongamano kubwa la DIASPORA Marekani litakalofanyika Katika Hotel yenye mandhali ya kiAfrika inayoitwa Kalahari, ni Sept 26 mpaka 29 ni kongamano la siku 3 limesheheni mambo makubwa ikiwemo Kuelimisha, kubadilishana mawazo, michezo na burudani BOFYA HAPA UJISAJILI.

Hili kongamano Litakutanisha Diaspora kutoka kote Duniani wadau mbalimbali kutoka sekta zote Tanzania wakiwemo wafanya biashara wenye majina makubwa ndani na nje ya Tanzania, *KARIBU AUSTIN, TEXAS*

Kuanzia leo mpaka June 30, 2024 kuna punguzo la bei ya kujiandikisha, changamkia fursa.

Kongamano la Diaspora Marekani ndio habari ya mjini
UTAKOSAJE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...