MECHI za mataifa za kufuzu kombe la Dunia 2026 zinaendelea hii leo ambapo timu kibao zinatafuta ushindi kujiweka sehemu nzuri kabla ya mambo hayajaanza kubadilika.

Meridianbet itaanza kuangazia mechi ya Zimbabwe dhidi ya Lesotho majira ya kumi jioni ambapo nafasi ya kuondoka na ushindi amepewa mwenyeji kwa ODDS 1.65 kwa 5.29. Mwenyeji yupo nafasi ya 6 na mgeni yupo nafasi ya 5, lakini pia wote wana pointi 2 kwenye msimamo. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa mwaka 2019 na walitoa sare. Je leo hii nani kuondoka na ushindi?. Beti mechi hii.

Mozambique naye atakuwa dimbani kuoneshana uwezo dhidi ya Somalia ambayo kwenye michezo miwili haijashinda wowote hadi sasa. Mwenyeji ana pointi tatu na kwenye michuano ya Afcon aliishia makundi. Mechi hii imepewa ODDS 1.18 kwa 10.78. Wewe unamdhamini nani akupatie maokoto?. Jisajili hapa.

Mechi za Mataifa mbalimbali kuchezwa leo, ingia meridianbet na ubashiri sasa, lakini kuna michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Kwenye Kundi F kuna mchezo mkali kati ya Kenya dhidi ya Burundi ambapo timu zote zinatokea Afrika Mashariki. Timu hizi zote zina pointi sawa yani 3 ambapo wameshinda mechi moja na kupoteza moja. Kenya ndiye anayepewa nafasi kubwa ya kuchukua pointi tatu kwa ODDS 1.89 kwa 3.77. Tengeneza jamvi lako mechi hii.

Ifikapo saa 1:00 usiku kutakuwa na mechi za kukata na shoka ambapo tutazama Madagascar atakavyopepetana dhidi ya Comoros ambaye ndiye kinara wa kundi hilo. Mwenyeji yupo nafasi ya tano akiwa na pointi zake 3 wakati timu hizi mbili mara ya mwsiho kukutana ilikuwa kwenye COSAFA mwaka 2018, na Madagascar alishinda. Je kwa ODDS ya 3.23 na 2.27 nani kushinda?. Beti mechi hii.

Naye Angola atakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Eswatini ambaye amepoteza mechi zote mbili za mwanzo na ni wa mwisho kwenye kundi. Mwenyeji ametoa sare mechi zote na kushinda leo ana ODDS 1.26 kwa 9.60 na mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni mwaka 2019 ambapo hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Unafikiri nani atashinda leo?. Ingia meridianbet na utengeneze jamvi lako la uhakika hapa.

Wakati huo huo Uganda atakuwa mwenyeji wa Botswana ambapo timu zote zina pointi 3 kwenye kundi lao. Uganda ni wa 4 wakati mgeni ni wa 3, na ODDS za kushinda mechi hii ni 1.85 kwa The Cranes na 4.01 kwa mgeni. Meridianbet wanakwambia hivi mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri sasa.

Ivory Coast ambao mabingwa wa Afcon watakuwa wakiumana dhidi ya Gabon majira ya saa 4:00 usiku. Timu hiyo inayoongozwa na kocha mkuu Emerse Fae ndio wanaongoza kundi hilo wakiwa wameshinda mechi zote mbili, huku mgeni naye akiwa ameshinda mechi zake mbili. Hivyo mechi ya leo ina ushindani kwelikweli. Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri sasa.

Kule Kundi C kutakuwa na mchezo mwingine wa wanafainali wa Afcon Nigeria dhidi ya South Africa ambapo mara ya mwisho kukutana walitoa sare. Zinakutana timu mbili ambazo zina wachezaji ambao wana ubora wa hali ya juu hivyo ni mechi kutazama. Wachezaji kama vile Osimhen, Lookman, Ndidi na kwa upande wa Bafana Bafana kuna Percy Tau, Themba Zwane, Mudau. Meridianbet wamempa The Eagles nafasi ya kushinda kwa ODDS 1.45 kwa 6.27. Suka mkeka wako hapa.

Mechi ya kuvutia pia ni hii ya Morocco ambao walifanya vizuri kombe la Dunia 2022, lakini wakafeli Afcon wao watakuwa na kibarua dhidi ya Zambia ambao wapo nafasi ya pili. Simba wa Atlas wapo nafasi ya kwanza ambapo ushindi wa leo utawakita zaidi kileleni. 1.40 na 7.84 ndio ODDS za timu hizi mbili. Nani kuibuka mbabe?. Beti sasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...