WIKIENDI ndio hii imewadia, na wajanja wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet wanakwambia kuwa kujishindia mamilioni ni rahisi sana leo. Usisubiri kuhadithiwa sasa ingia na usuke jamvi hapa.

Tarajia pesa mechi ya AZ Alkmaar dhidi ya KV Kortrijk ambapo Meridianbet wameipa mechi hii odds kubwa 1.39 kwa mwenyeji na 5.29 kwa mgeni. Mwenyeji anakipiga katika ligi ya Uholanzi ambapo alimaliza nafasi ya 4 na mgeni yeye yupo pale Ubelgiji akimaliza ligi katika nafasi ya pili kutoka mwisho. Suka jamvi lako sasa na Meridianbet.

Nao VFB Stuttgart ya Ujerumani watawaalika Fortuna Sittard ya Uholanzi ambao walikuwa na kiwango cha kati msimu uliopita. Stuttgart amekuwa bora sana msimu uliopita akimaliza nafasi ya pili na hata kuwafunga mabingwa wa Bundesliga mara nyingi. Fortuna kushinda mechi hii amepewa ODDS 5.09 kwa 1.45. Beti mechi hii.

Bashiri mechi za kirafiki zinazoendelea ndani ya Meridianbet uibuke kuwa Milionea leo. Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Pia vijana wa Thomas Frank Brentford watakuwa ugenini kuchuana vikali na AFC Wimbledon ambayo inacheza League 2 kule Uingereza. Nyuki ambao wanakipiga EPL walimaliza nafasi ya 16 wakiwa na pointi 39 huku mwenyeji wake kwenye ligi yao akimaliza nafasi ya 10 na pointi zake 65. Je nani kuondoka na ushindi mechi ya kirafiki leo?. Jisajili hapa.

Pata maokoto mengine kwenye mechi hii ya Austria Salzburg vs Real Betis Seville ambayo inakipiga kule Laliga. Salzburg haipewi nafasi sana ya kuondoka na ushindi leo wakiwa na ODDS 10.78 kwa 1.13 dhidi ya mgeni. Betis walimaliza nafasi ya 7 na pointi zao 57. Je nani kuondoka na ubabe leo?. Tengeneza jamvi hapa.

Kivumbi kitakuwa hapa kwenye mechi ya QPR dhidi ya Tottenham Spurs ya Ange ambao kushinda leo hii wamepewa ODDS 1.57 kwa 4.11. Mwenyeji anakipiga katika ligi daraja la kwanza kule Uingereza huku Spurs yeye akicheza Ligi kuu. Mwenyeji mpaka msimu kumalizika kwenye ligi alikuwa nafasi ya 18 huku Ange na vijana wake wakimaliza nafasi ya 5 na pointi 66. Beti mechi hii.

AC Monza atakuwa uso kwa uso na Palermo huku mechi hii ikiwa na machaguo zaidi ya 1000 pale Meridianbet. Monza anakipiga ligi kuu Italia Serie A, na mgeni wake anakipiga Serie B. Mabingwa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet wanasema hivi mwenyeji ndio anaondoka na ushindi leo akiwa na 1.67 kwa 4.21. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Suka jamvi hapa.

Saa 12:00 jioni Manchester United baada ya kupoteza mchezo wake wa kirafiki uliopita, leo atakuwa ugenini dhidi ya Glagow Rangers ya Scotland ambao walimaliza nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi. Vijana wa Ten Hag wamepewa nafasi ya kushinda leo wakiwa na ODDS 1.85 kwa 3.19. Bashiri mechi hii.

Vilevile SK Rapid Wien atapepetana dhidi ya AC Milan ya Italia. Mwenyeji anakiwasha kule Austria wakati mgeni akimaliza nafasi ya pili kule Serie A. Mechi hii imepewa machaguo zaidi ya 1000, na ODDS ya 4.11 kwa 1.62.




















































































Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...