Meja Jenerali Charles Mbuge (Mstaafu) ametembelea banda la Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zilizochini ya ofisi hiyo wakati wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (SABASABA) yanayoendelea Jijini Dar es Saalam, ametembelea hii leo tarehe 09 Julai, 2024Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...