Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihitimisha ziara yake ya kikazi Mkoani Katavi tarehe 15 Julai 2024 ambapo wananchi wa Mpimbwe waliambiwa kuwa bei ya mahindi itaanzia shilingi 600 kwa kilo moja.

Mhe. Rais Dkt. Samia amekuwa mkoani Katavi kwa siku tatu ambapo pamoja na miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo afya, alizindua pia vihenge na maghala ya kisasa ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), na kuongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka za aina tofauti kutoka tani 5,000 hadi tani 28,000.

Ziara hiyo pia imeshirikisha Viongozi wa Serikali akiwemo Mhe. Hussein Bashe (Mb), Waziri wa Kilimo.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...