SHULE ya Mikocheni Islamic iliopo Mikocheni kwa Warioba jijini Dar es Salaam ilifanya ziara ya kimasomo Ijumaa ya Julai 19, 2024 kwenda Mbuga ya Wanyama ya Mikumi iliopo mkoani Morogoro. Walitumia usafiri wa Treni ya SGR kwenda Morogoro kama utalii wa ndani shule hiyo ni kwanza kusafiri na SGR. Walipofika Morogoro Station walipokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika La Reli Tanzania (TRC) Mr Masanja Kadogosa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...