Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Selemani Jafo (Mb) akiwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Sempeho Manongi na Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara hiyo Bw. Needpeace Wambuya amekutana na kuzungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe.Balozi Marianne Young katika 0fisi ya Wizara, jijini Dodoma.

Mhe. Jafo amesema kuwa wamejadiliana kuhusu namna ya kuimarisha Uhusiano wa Kibiashara na Uwekezaji baina ya nchi hizo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...