Meneja Mauzo na Mkakati wa Biashara wa kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Caleb Majo (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi mshindi wa Tsh 20m wa Ni Balaa! Kila mtu ni mshindi kwa kanda hiyo Abdulfadhili Birro, ambaye pamoja na kiasi hicho cha pesa, mshindi huyo atapata nafasi ya kuchagua shule ya msingi itakayoboreshewa mazingira ya kusomea (maktaba) ili kuwawezesha wanafunzi wa shule hiyo kusoma kwa utulivu zaidi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...