Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation Bi. Alice Albright kabla ya kuanza kwa mazungumzo yaliyolenga kukuza na kuimarisha mahusiano leo tarehe 30 Oktoba 2024, Des Moines, Iowa nchini Marekani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation Bi. Alice Albright ambapo mazungumzo hayo yalijikita katika kukuza na kuimarisha mahusiano baina ya pande mbili hizo, leo tarehe 30 Oktoba 2024, Des Moines, Iowa nchini Marekani.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...