.jpg)

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akizungumza na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Prof. William Anangisye kabla hajafunga Mkutano Mkuu wa kwanza wa Muungano wa Vyuo Vikuu vitano, unaolenga kuimarisha uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi barani Afrika kwa kukuza kilimo endelevu, usimamizi wa maji, na kuimarisha afya ya umma, Novemba 12, 2024 mkoani Dar es Salaam.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...