Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa salamu za pole kwa waathirika wa ajali ya kudondokewa na gorofa Kariakoo Jijini Dar es Salaam. Rais Dkt. Samia ametoa salamu hizo tarehe 17 Novemba, 2024, Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil ambapo yupo
kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20 unaotarajiwa kuanza kesho tarehe 18 Novemba, 2024.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...