Na: Mwandishi Wetu - Juba, Sudan Kusini
Wajasiriamali kutoka nchini Tanzania wakiendelea kutoa elimu na kuonesha bidhaa mbalimbali katika Maonesho ya 24 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki maarufu Nguvu Kazi au Jua Kali yanayofanyika katika Viwanja vya Freedom Hall, Jijini Juba, Sudan Kusini.
Maonesho hayo yanaongozwa na kauli mbiu "Kukuza Ubunifu wa Kipekee na Maendeleo ya Ujuzibmiongoni mwa Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Afrika Mashariki,"

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...