Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akipokea tuzo maalum ya utunzaji mazingira iliyotolewa na Chuo Kikuu cha Iringa katika Mahafali ya Chuo hicho yaliyofanyika leo tarehe 13 Desemba 2024 mkoani Iringa. anayekabidhi tuzo ni Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Iringa, Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo
Home
HABARI
JAMII
MAKAMU WA RAIS AKIKABIDHIWA TUZO YA UTUNZAJI MAZINGIRA KUTOKA CHUO KIKUU CHA IRINGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...