Bw. Mshomba amesema NSSF imeanzisha Hifadhi Skimu hii ambayo ni Mpango Maalumu wa Kitaifa wenye lengo la kuwezesha Wananchi Waliojiajiri ambao watajiunga na kuchangia waweze kunufaika na mafao mbalimbali yakiwemo ya matibabu pamoja na huduma zinazotokewa na NSSF .
Aidha, Mkurugenzi Mkuu amshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani kwa kuona umuhimu wa wananchi wote kuwa wanachama wa Hifadhi ya Jamii, jambo ambalo litapunguza umaskini katika jamii.
Aliongeza na kusema kuwa sasa hivi wananchi wote wanaweza kujiunga kirahisi lakini pia uchangiaji wake ni rahisi na kwa kiwango kidogo, wakati manufaa ni makubwa sana.
Bw. Mshomba amesema Mastaa wa Mchezo wanaolengwa na NSSF ni Waliojiajiri kupitia Sekta ya Kilimo, Ufugaji, Uvuvi, Uchimbaj Mdogo wa madini, Usafirishaji (Boda boda na Bajaji), Sekta ya Biashara Ndogo-Ndogo (Machinga, Mama/Baba Lishe, Ususi, Muuza mkaa, muuza nyanya na Staa wengine wote). Tunawafikia popote walipo na kuhakikisha tunawaandikisha na wanachangia NSSF.
NSSF STAA WA MCHEZO, HIFADHI SCHEME - HIFADHI YA JAMII KWA WOTE
.jpeg)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...