RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwanazuoni Maarufu Zanzibar Sheikh.Ali Hemed Jabir ( Mwalimu Aliyani) ambae ni Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mchangani, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Mchangani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 8-2-2025, kwa ajili ya kumtembelea na kumjulia hali yake na kuzungumza naye.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na wanafamilia katika kuitikia dua ikisomwa na Mwanazuoni Maarufu Zanzibar Sheikh.Ali Hemed Jabir (Mwalimu Aliyani) (kushoto kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yake, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Mchangani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 8-2-2025, kwa ajili ya kumjulia hali yake, na (kulia kwa Rais) Al-Habib Mohamed Omar Al-Sheikh na Ustadh. Mahmud Ali Mbarak.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya msahafu na Mwanazuoni Maarufu Zanzibar Sheikh.Ali Hemed Jabir (Mwalimu Aliyani) ambae ni Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mchangani, Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 8-2-2025,baada ya kumaliza mazungumzo alipofika nyumbani kwake mtaa wa mchangani kwa ajili ya kumtembelea na kumjulia hali yake.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...