Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, leo amezindia Shina la Chama cha Mapinduzi CCM lililopo eneo la Butihama, Chanika Wilaya ya Ilala Jijini Dar es salaam.Katika uzinduzi huo, Mstahiki Meya Kumbilamboto ametoa zawadi za jezi kwa vijana wa CCM waliyopo kwenye eneo hilo, lengo ni kuimarisha Chama pamoja na kuongeza idadai ya wanaCCM.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...