Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara Ndg John Mongella ametoa sifa kwa jumuiya ya UWT kwa kuwa mstari wa mbele katika kuelezea kazi za Chama kwa wananchi kutokana na Jumuiya hiyo kuwa na ushawishi mkubwa kwenye jamii.
Akizungumza kwenye ufunguzi wa Kikao Cha kawaida Cha Baraza Kuu la UWT uliofanyika katika ukumbi wa NEC jijini Dodoma Naibu Katibu Mkuu Mongella amesema kwa Sasa Taifa linajiandaa na Uchaguzi Mkuu hivyo wajumbe wa UWT wanapaswa kushikamana na kushirikiana katika kuhakikisha CCM inapata ushindi wa kishindo.
Katika hatua nyingine Naibu Katibu Mkuu Mongella amewaasa wajumbe kusimamia na kutenda haki kwa wanachama na wagombea katika mchakato wa kupata watu wenye sifa za kuwania nafasi za uongozi ili kusiwe na migongano katika kuwania nafasi hizo.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...