Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Nyumba za Makazi ya Majaji Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma mfano wa ufunguo mara baada ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji tarehe 05 Aprili, 2025, Jijini Dodoma.
Majaji pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Majaji, Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Jengo la Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Jengo la Makazi ya Majaji kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...