NI siku nyingine kabisa ya Alhamisi ambapo leo hii tutaenda kushuhudia Nusu Fainali za pili za Europa League na Conference huku Meridianbet wakiweka odds za kibabe kwenye mechi hizo.
Tukianza na Europa League ambapo Manchester United baada ya kushinda mechi yake iliyopita dhidi ya Athletic Bilbao, leo hii atakuwa na kibarua cha kulinda mtaji wake wa magoli matatu dhidi ya timu hiyo kutoka Hispania. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kwenda Fainali Amorim na vijana wake kwa ODDS 2.05 kwa 3.75. Bashiri hapa.
Mtanange mwingine utakuwa kati ya Tottenham Hot Spurs ambao watakuwa ugenini kucheza dhidi ya Bodoe/Glimt ya kule Norway ambapo mchezo wa kwanza walipigika vibaya mno wakiwa nyuma kwa goli 4-1. Ange na vijana wake wanahitaji kucheza fainali huku leo hii wakipewa ODDS 2.55 kwa 2.65. Je nani na nani kutinga Fainali?. Jisajili hapa na uibuke bingwa leo.
Nafasi ya wewe kuwa Milionea ipo Meridianbet leo. Suka jamvi lako la ushindi leo na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Vilevile Conference League kuendelea kibabe hapo baadae ambapo ACF Fiorentina baada ya kupigika mechi ya kwanza, leo hii watakuwa nyumbani kutaka kupindua meza dhidi ya Real Betis. Mlima hata sio mrefu kwani wapo nyuma kwa bao 1. Kwa upande wa Meridianbet wao wanampendelea mwenyeji kushinda mtanange huu kwa ODDS 2.35 kwa 3.10. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Suka jamvi hapa.
Chelsea wao watakuwa Stamford Bridge kumenyana dhidi ya Djurgardens IF ambao kwenye mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali walipigika kwao. Leo hii wamekuja London kusaka ushindi tena wa magoli kuanzia 4 ili waende fainali. Je Enzo Maresca na vijana wake wanaweza kupoteza leo?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.20 kwa 13.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...