Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilolo, Eston Kyando (aliyesimama) akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa makundi mbalimbali ya viongozi wa Kata ya Ruaha Mbuyuni juu ya namna ya kukabiliana na majanga ya kemikali ikiwemo ajali za magari yanayosafirisha kemikali. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa shule ya msingi Mbuyuni A, Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Mei 30, 2025. Kulia ni Meneja wa Usajili wa Kemikali na Maabara za Kemia, Musa Kuzumila.
Meneja wa Usajili wa Kemikali na Maabara za Kemia, Musa Kuzumila, akieleza majukumu ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali katika mafunzo kwa makundi mbalimbali ya viongozi wa Kata ya Ruaha Mbuyuni juu ya namna ya kukabiliana na majanga ya kemikali ikiwemo ajali za magari yanayosafirisha kemikali. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa shule ya msingi Mbuyuni A iliyopo Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Mei 30, 2025.
Kaimu Meneja wa Ofisi ya Kanda ya Kati, Fidelis Chrizant, akijibu maswali mbalimbali yalioulizwa na washiriki katika Mafunzo kwa makundi mbalimbali ya viongozi wa Kata ya Ruaha Mbuyuni juu ya namna ya kukabiliana na majanga ya kemikali ikiwemo ajali za magari yanayosafirisha kemikali. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa shule ya msingi Mbuyuni A, Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Mei 30, 2025.
Mkuu wa Kituo cha Taifa cha Kudhibiti Matukio ya Sumu, Yohana Goshashy, akiwasilisha mada kuhusu jinsi ya kukabiliana na matukio ya sumu katika mafunzo kwa makundi mbalimbali ya viongozi wa Kata ya Ruaha Mbuyuni juu ya namna ya kukabiliana na majanga ya kemikali ikiwemo ajali za magari yanayosafirisha kemikali. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa shule ya msingi Mbuyuni A iliyopo katika Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Mei 30, 2025.
Washiriki wa Mafunzo wakifuatilia mada zilizokuwa zinawasilishwa katika Mafunzo kwa makundi mbalimbali ya viongozi wa Kata ya Ruaha Mbuyuni juu ya namna ya kukabiliana na majanga ya kemikali katika ukumbi wa shule ya msingi Mbuyuni A katika Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Mei 30, 2025.
Mtumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Revocatus Mwamba (aliyesimama) akiwasilisha mada katika mafunzo kwa makundi mbalimbali ya viongozi wa Kata ya Ruaha Mbuyuni juu ya namna ya kukabiliana na majanga ya kemikali ikiwemo ajali za magari yanayosafirisha kemikali. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa shule ya msingi Mbuyuni A katika Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Mei 30, 2025.
Mtumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Janeth Almas (aliyesimama) akiwasilisha mada juu ya alama mbalimbali zitumikazo kwenye kemikali na mazingira yake kwenye mafunzo kwa makundi mbalimbali ya viongozi wa Kata ya Ruaha Mbuyuni juu ya namna ya kukabiliana na majanga ya kemikali ikiwemo ajali za magari yanayosafirisha kemikali. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa shule ya msingi Mbuyuni A katika Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Mei 30, 2025.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...