
IKIWA leo hii ni Jumamosi siku ya mwisho ya mwezi Mei, wakali wa ubashiri Meridianbet iliamua kufunga safari hadi hospitali ya Palestina Sinza kwaajili ya kutoa msaada kwa kina mama wanaojifungua.
Katika tukio hilo la kugusa maisha, Meridianbet ilitoa pampers za watoto wachanga, mashuka mapya, na sanitizers kwa ajili ya kusaidia mazingira bora ya malezi ya watoto na afya ya kina mama. Zoezi hilo ni sehemu ya mikakati endelevu ya kampuni hiyo kupitia mpango wake wa Uwajibikaji kwa Jamii (CSR).
Akizungumza wakati wa ugawaji huo, mmoja wa maafisa wa Meridianbet Bi Nancy Ingram alisema: "Tunaamini kuwa afya ya mama na mtoto ni msingi wa jamii imara. Kwa msaada huu mdogo, tunataka kupeleka ujumbe kuwa hatuwasahau wale waliopo katika hatua muhimu za uzazi na malezi."
Hospitali ya Palestina, ambayo ni miongoni mwa vituo vinavyotoa huduma za afya ya uzazi kwa maelfu ya wanawake kila mwaka, ilipokea misaada hiyo kwa shukrani na moyo wa faraja.
Mzigo mkubwa unapatikana ndani ya Meridianbet leo hii mechi ya fainali ya Uefa. Suka jamvi lako hapa lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Mwakilishi wa uongozi wa hospitali hiyo alisema, "Msaada huu umetufariji sana. Vifaa hivi ni muhimu sana, hasa kwa wale wakina mama wanaokosa baadhi ya mahitaji baada ya kujifungua. Tunawashukuru Meridianbet kwa moyo wa upendo na kujitolea."
Kwa miaka ya hivi karibuni, Meridianbet imeendelea kuwekeza kwenye miradi ya kijamii katika sekta ya afya, elimu, michezo, na maendeleo ya vijana. Tukio hili ni mwendelezo wa jitihada hizo za kuleta mabadiliko chanya kwa Watanzania.
Lakini vilevile kama inavyojulikana kuwa kampuni hii kubwa ya ubashiri inajihusisha na michezo ya bahati nasibu, leo hii kuna fainali ya Ligi ya mabingwa ulaya kati ya PSG vs Inter Milan hivyo ingia kwenye akaunti yako uweze kubashiri mtanange huu.
Meridianbet wao wamempa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.27 kwa 3.50. Je wewe leo hii unampa nani kuondoka na ushindi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...